Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia
mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana
nao,akiwemo Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi anayeshuhulikia
Mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana
nao,akiwemo Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento,(kushoto) [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...