Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wakuu wa vikosi vya Ulinzi Pemba
alipowasili uwanja wa Ndege wa Karume,leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali na wananchi
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba ,leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali na
wananchi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba
,leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...