Anton Nyoni (15) akiwa amebeba vibao vya kutundikia nguo majumbani ambavyo alikuwa akiuza kati ya tsh 2000 hadi 1500 kutoka na ukumbwa kama alivyokutwa katika kituo cha mabasi cha Ikweta kandokando ya barabara ya sokoine manispaa ya Songea jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2013

    hata kama na kudumaa, dogo hajafika 15, huyu motto ana kani ya miala kumi na kumi na miwili.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2013

    mie naona kama ana miaka 10 vile. dah kweli hali ngumu nowdays!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2013

    Mchangiaji wa kwanza mimi nilidhani umeguswa na ajira ya watoto au mustakbali wa huyo mtoto kimaisha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2013

    Kama hutaenda shule, hiyo ndo itakuwa shughuli zako milele, hatima yako itakuwa jela kwasababu utazaa hela za biashara hiyo unayofanya haitatosha ndipo utakapo amua kuiba. sikuombei mabaya huo nimwelekeo unaoonyesha mwenyewe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2013

    huyu miaka tisa au kumi sio 15. Anatakiwa awe shule sio kufnay biashara.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2013

    jamani maisha naisia imani sana nikiona vijana wadogo hivi wakihangaikia maisha ... bado hawajafikia kiwango hiki wanahitaji wapate elimu bora jamani hivi nyinyi viongozi hamuoni kua vijana wa kesho hawa wa kujenga taifa letu kama wanahitaji msaada wa elimu kama watoto wenuuuuu ???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...