Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Mh. Filiberto Sebregondi (katikati) akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam juu ya Wiki ya Umoja wa Ulaya itakayoadhimishwa nchini na kuhusisha shughuli mbalimbali za kijamii. Wengine katika picha ni Balozi wa Hispani nchini Mh. Luis Cuesta Civis(wa kwanza kushoto) , Balozi wa Ireland nchini Mh. Fionnula Gilsenan na ,Balozi wa Nethrland nchini Mh. Dkt. Ad Koekkoek Emmanuel . 

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO_Dar es salaam

UMOJA wa Nchi za Ulaya (EU) umeahidi kuendelea kusaidia Tanzania katika miradi ya maendeleo, ambapo kwa mwaka ujao wa fedha wa 2013/2014 itaipatia Tanzania zaidi ya Dola za Kimarekani milioni 562.

Kauli hiyo imetolewa leo na Balozi wa EU nchini Tanzania Mh. Filiberto Sebregondi jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Wiki ya Umoja wa Ulaya itakayoadhimishwa nchini na kuhusisha shughuli mbalimbali za kijamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2013

    Mie kwa mtazamo wangu, ningependa hizo hela zisaidie ulinzi nchini maana Tanzania sasa tunaelekea pabaya kiulinzi tumeona mtu akitoka bank na viela anapigwa risasi na hela zinachukuliwa. watu na mali zao kwa kweli hawana Amaani kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...