Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2013

    hahaha!

    Komenti ya M7 imeniacha hoi, ni vile hilo dubwana (ICC) hatapenda liwepo kwa kuwa hata yeye mwenyewe anajistukia, huku akona naye wakati wa kuachia ngazi unakaribia ingawa hadi sasa yeye ni bubu kuhusu hilo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2013

    Ni kweli kabisa waafrika wanapenda pesa za wazungu huku wanawachukia wazungu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2013

    wewe anony wa pili waafrika hawawachukii wazungu, na hizo fedha unazozisema walizo nazo nikikwambia wanavyozipata basi michuzi hatatoa maoni yangu hapa, kwa hiyo ninakuacha jinsi ulivyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...