Warembo wa Miss Kigamboni 2013 wakipewa somo na Miss Tanzania mwaka 1999,Hoyce Temu wakati alipowatembelea kwenye kambi yao kwa lengo la kuwafunda warembo hao,Hoyce aliwaaambia warembo hao mambo mbali mbali kuhusiana na masuala ya urembo likiwemo suala la nidhamu na kujitambua katika jamiii.
Shindano la miss kigamboni litafnyika juni 7 mwaka huu,huko Kigamboni jijini Dar.
Miss Tanzania mwaka 1999,Hoyce Temu (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Warembo wa Miss Kigamboni 2013.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...