Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Katavi na baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania mkoani humo walikokuja kumpokea leo asubuhi Katika Ofisi ya Ikulu ndogo ya Mkoa wa Katavi kuanza ziara yake ya kikazi ya kutembelea Mahakama na kujionea hali ya utoaji haki mkoani humo. Picha na Mary Gwera wa Mahakama ya Tanzania
Home
Unlabelled
Jaji Mkuu wa Tanzania ziarani mkoa wa katavi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...