JARIDA LA BURUDANI LA MZUKA  TOLEO LA MAY LINALOTOLEWA NA BONGO5 MEDIA GROUP LIMEINGIA MTAANI LIKIWA NA KALI KIBAO KWA BEI YA SHILINGI 1,500 TU.

WEMA SEPETU YUPO KWENYE KAVA NA AMEFUNGUKA MAZITO. UNAFAHAMU NI KIPI DIAMOND ALIMKOSEA HADI WAKAACHANA? JE  WEMA NI MILIONEA? JIBU LIPO KWEYE


MZUKA.  KUNA ORODHA YA MASTAA 20 TANZANIA WENYE USHAWISHI ZAIDI, RAPPERS 10 WAKALI


LAKINI WANAOCHUKULIWA POA NA WATANGAZAJI WA KIKE 11 WA TV BARANI AFRIKA
WAREMBO ZAIDI .

REGINALD MENGI ATANGAZA ULAJI KWA WATUMIAJI WA TWITTER. MZUKA LINA PICHA.  ZA WAKE AMA WAPENZI 20 WA WANAMUZIKI WAREMBO ZAIDI AFRIKA. 


JE! UNAFAHAMU KUWA MREMBO HABIDA KUTOKA KENYA, ALIWAHI KUISHI TANZANIA?
MZUKA LINA STORY NA PICHA ZAKE KALI. KWANINI FILAMU ZA TANZANIA HAZIENDI
NJE YA AFRIKA MASHARIKI? WASANII WAMETOA SABABU. KWA WANAOPENDA MICHEZO
KUNA MATUKIO MANNE MAKUBWA YALIYOTOKEA KUIHUSU MANCHESTER UNITED.

MZUKA LINA BONGE YA STORY KUHUSU HORMONE INAYOWAFANYA WATU WASISEME UONGO
NA JINSI INTERNET YA BURE INAVYOONGEZA MVUTO KWENYE BIASHARA. PIA KUNA
PICHA KALI ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BURUDANI NCHINI.

JIPATIE NAKALA YAKO YA MZUKA SASA KWA SHILINGI 1,500 TU KWENYE VITUO VYA
KUUZIA MAGAZETI. PIGA NAMBA 0716 265 838 KWA TAARIFA ZAIDI.

Thanks.

Fredrick Bundala aka Skywalker.

Head of Content, bongo5.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2013

    Mwanasesere?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2013

    hizi makeup mziangalie kwanza kabla kujikandika usoni

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2013

    Anatisha kwa cover page.... Too artificial

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2013

    Feki sana. Haya mambo ya kuiga mambo ya Magharib. Jamani wanawake wengi siku hizi wamekua wanafanana wanapoonekana sehemu za starehe. lacewig kichwani, nywele ndefu mpaka mgongoni, make-up usoni na vivazi vya aina mmoja, suruali ya kubana wenyewe wanaita skin jeans, vitop na nguo fupi bila kusahau kope za kubandika. Ni warembo wangapi wanajivunia kua na nywele zao asilia ambazo zinapakwa mafuta tuu?!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...