Home
Unlabelled
katambuga sokoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du! mnaturudisha enzi za nyerere tena!
ReplyDeletekule kwetu leka dutigite enzi zile tulikuwa tunaviita hivyo vi kata mbuga kwa jila la Mkwabho!!
ReplyDeleteVinalingana kabisa na taniz nchi yetu; ila tu waboreshe kamba zake!
ReplyDeleteKwetu tunaviita MASENDEU. But nowadays naona vipo kwenye 'trend' hakuna kujivunga kama enzi hizo.
ReplyDeleteAcha tu baba yangu alipofika miaka 72 akapata allergy ya viatu. The only shoes anavyoweza vaa bila kupata malengelenge na kuvimba miguu ni hivi viatu vya matairi. Asante Mungu bado vinatengenezwa manake sijui ingekuaje!
ReplyDeleteHALAFU TANZANIA TAMBARARE HA HAHA HA
ReplyDeleteBADO HAMSINI KWEUSI MAFISADI WANAPANGA NJAMA YA KUTUFUNDISHA TUWE NA UTAMADUNI WA KURIPUANA HALAFU MAISHA NDO YAHAYA YA KUVAA KATAMBUGAA KWELI WATANZANIA MUNGU AKUSAIDIYENI MUWEZE FIKA KATIKA UFALME WAKE