Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila akimpa pole Theresia Mlekani ambaye ni mke wa Ofisa Habari Mwandamizi wa Bunge, Ernest Zulu wakati alipokwenda kuwapa pole wafiwa nyumbani kwao Ubungo Kibangu, Dar es Salaam.

Kupata  ratiba ya mazishi ya 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2013

    Hisia zangu kwako mzee Ernest Zulu ambae niliwahi kukutana nawe kwa mara ya kwanza na mwisho kule Kuala lumpur katika sherehe ya kumpongeza ofisa mwenzako Neema kusaga aliyehitimu degirii yake ya pili

    Picha tulizopiga nazikumbuka, sikuamini kama ni wewe ulietutoka. Nimajozi tu, kwani wema wako na urafiki wa siku ile, pamoja na kunikaribisha chuoni kwako Taylor university pale river side bila kujali dini kabila na sehemu ipi ya Tanzania ninayotoka ulitunganisha sote na bado nakumbuka.

    Ucheshi wetu ulilingana pale nilipo kutania kuwa wewe kweli ni mzulu na umefanana na rais wa South Africa Jakob Zuma.

    ukacheka sana na ukasema yawezekana South ndio asili.Hii ilionesha ni jinsi gani ukarimu wa watanzania ulivyo.

    Poleni sana wanafamilia, ndugu, marafiki wafanyakazi wa bunge hasa dada Neema Kusaga kwani wewe ndio ulietuunganisha urafiki wetu.

    Ulazwe pema panapostahiki kaka Ernest Zulu

    RIP Zulu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...