Wachezaji wa Timu ya KMKM wakiwa pamoja na kocha wao Ally Bushiri wakishangilia ubingwa wa soka wa ligi kuu ya soka ya Grandmalt huko Zanzibar walioupata hivi karibuni.
Wachezaji wa Timu ya KMKM,Uongozi wa ZFA pamoja na Viongozi wa Grand Malt wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kombe hilo la Ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar inayodhaminiwa na kinywaji cha Grand Malt.
Nahodha wa timu ya KMKM,Maulid Ibrahim akipokea kombe na mfano wa hundi ya Shilingi milioni kumi toka kwa mgeni Rasmi Waziri Asiye na Wizara Maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Machano Othman mara baada ya kuwa mabingwa wa ligi kuu ya soka ya GrandMalt.
ANGALIENI MUSISHUKE DARAJA MWAKANI. WENZENU FALCON FC WALIKUWA MABINGWA MSIMU ULIOPITA MWAKA HUU WAMESHUKA DARAJA
ReplyDeleteNINI MAANA YA GRAND MALT? WADAU NIJIBUNI WABADO NA NYINYI KAMA MIMI MKO KIZANI HAMJUI MAANA YAKE
ReplyDelete