Jonia Bwakea, Afisa Habari wa KNCU, akikabidhi zawadi ya Kahawa inayokaangwa na kufungashwa na KNCU kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh.Leonidas Gama wakati wa sherehe za siku ya Mei Mosi zilizofanyika ndani uwannja wa Chuo cha Ushirika Moshi.
 Wafanyakazi tawi la TCCCo, kiwanda cha kukoboa Kahawa wakiwa ktk maandamano.
 Wanyama waliokaushwa, kutoka Wizara ya Mali Asili na Utalii. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama nmaweza kukausha mtu na kumuweka ktk maonyesho kama hawa hapa, naomba kufahamu. Suala la haki achilia mbali kwa sababu hata hawa hawakuridhia mliyowafanyia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...