Marehemu Simon Charles Gwera

Ni miezi mitano kamili toka mtoto wetu, mdogo wetu na kaka yetu Mpendwa Simon, ulipotutoka tarehe 25.12.2012 na kutuachia majonzi na majeraha makubwa mioyoni mwetu, ila tuna imani ya kuwa umetangulia mbele ya haki mdogo wetu, unakumbukwa sana na wazazi wako wapendwa Mr&Mrs Charles Gwera, dada zako Mary C. Gwera na Victoria C. Gwera, shangazi zako, wajomba zako pamoja na ndugu jamaa na marafiki. Pumzika kwa Amani baba nasi tupo nyuma yako tunafuata.

RAHA YA MILELE UMPE EEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI, AMINA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...