DR. FRANCIS MW. MSELLEMU
1941 - 1996
Baba, ni miaka 17 sasa tangu ulipotuacha!
Haijawahi kuwa rahisi kwetu, kwani kila iitwapo leo machungu na majonzi
yetu ni kama jana.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia nafasi ya kuwa na Baba kama
wewe, na nafasi ya kuishi nawe kwani kwetu
ulikuwa Rafiki na Mwalimu.
Kwa Mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tunaendelea kukua kiimani tukiamini kwamba ipo
siku moja tutakutana nawe tena.
Pumzika kwa Amani Baba!
poleni sana ndungu zangu.mimi nimempoteza baba yangu last week sidhani kama nitakaa ni sahau pigo kama hili.pumzika kwa amani emeni.
ReplyDelete