Kumbe mambo ya vyama vya siasa kuwa na matawi ughaibuni hayakuanza leo. picha hii iliyopigwa jijini London May 9,  1959 inathibitisha hilo. 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2013

    Mjomba hapo ni Ukerewe, kule Mwanza sio London.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2013

    I think those branches had a certain purpose - to be close to the top level ya ukoloni ili waweze kusikika. the current branches make no sense at all, basically a waste of time and resoureces (if they have ever been utilised at all).

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2013

    If you do not know the significance of branches in diaspora ask to be informed so that you can rid your ignorance (if you wish)and stop mudslinging what you do not know/like personaly

    ReplyDelete
  4. At least wanaonekana kuwa na akili timamu, na wanajua walichokuwa wakisimamia, sio hawa mission-town wetu ambao wanatafuta deals kwa mgongo wa siasa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2013

    Enzi hizo ukerewe waliweza kuvaa suti kweli! Hii ni london

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2013

    HII NI LONDON KABISA HAKUNA KUPINGA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...