Mabango ya matangazo katika Sherton Hotel katika kambi ya wakimbizi ya Mtabila mkoani Kigoma kamera yetu ilipotembelea huko mwaka 2006.


Mmiliki wa hoteli hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2013

    na wewe bwana sasa why hukuweka bei za mwaka huu, nini maana ya kurusha bei za miaka 7 iliyopita?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2013

    Umenikumbusha mbali mwanawane!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2013

    Alafu hata wewe umekosea ni SHERATON HOTEL umeandika SHERTON HOTEL

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2013

    Who cares! lugha ni mawasiliano, na habari imewafikia walengwa! the woman is making more money than any english language teacher/professor! in tz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...