Watoto ambao majina yao hayakutambulisha kwa haraka wakicheza katika jalala lililojaa uchafu mjini Mbinga ambao unaonekana haujazolewa kwa muda mrefu,licha ya kuwa unaweza kuleta madhara kwa watu.hali hii ni hatari sana kwa kwa watoto kama hawa na wengineo pia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...