Ibada ya Kiswhaili - Columbus, Ohio
Inakukaribisha kusheherekea kwa pamoja Maadhimisho ya Miaka Minne
Mgeni Rasmi Mheshimiwa Baba Askofu Andrew Gule
KKKT Dayosisi ya Kanda ya Ziwa Viktoria
35 E Stanton Ave, Columbus Ohio 43214
Juni 02, 2013 Kuanzia Saa Tisa na nusu (3:30pm)
Karibuni Wote
"Mungu akubariki hadi ushangae"
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...