Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2013

    hahahaha hepa hepa hatari DUH

    Mlomry

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2013

    Nimekatika mbavu sio kusikiliza points alizokuwa akitoa ila namna alivyokuwa akiongea.

    Dah halafu anataka kumpa obama kuku!!!! ahhh jamani tukumbukeni obama akiondoka tanzania tumpe kuku kwa niaba ya watani wetu. :)

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2013

    Obama Mmarekani bwana acheni hayo mambo. Na kama asigekuwa mwanasiasa hata msingelisikia kuwa kazaliwa Kenya na zili ziara alizokuwa akija kabla hajawa mwanasiasa pia asingelikuja. Kuja Mbogo hapa kaja UK na baba yake mkubwa basi hata kukusalimia basi anashindwa wakati tupo na WaTZ wengine kwenye sherehe sherehe za waTZ. Hizo ndio tamaduni za Ughaibuni. Kwanza akija Kenya au akituoa msaada zaidi Kenya basi wapinzani wake watafanya ishu kubwa. Mtu akishachukua urai wa nchi za Ughaibuni huyo sio mwenzenu na ni adui muogopeni maana ameshakula kiapo cha kuitetea nchi yake mpya kwa lolote lile.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2013

    ohhhh my god, this guy is something! kwanza umesikia jina lake? hapa nimecheka mpaka watu wanadhani nimeingia wazimu!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2013

    This is hilarious, jamaa is spitting feathers.I can understand his frustrations ingawa Kiswahili chake kina kutu sana.Nionavyo mimi Obama angejikuta na matatizo kuwa mgeni wa mheshimiwa Uhuru wakati he is facing charges against human rights at ICC

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2013

    Waache malalamiko yao hao Kenya:

    Amerika inawekeza ktk mambo kama,

    1.ECONOMY:
    Uchumi na uzalishaji mali.
    Wanahitaji nchi zenye rasilimali ili iweze kushindana na wapinzani wake wakubwa Kiuchumi kama China ,Asia kwa ujumla na Jumiya ya Ulaya.

    Kenya hamna rasilimali za kumshawishi Mmarekani kuwa karibu na ninyi licha ya Unasaba wa Raisi wao na nchi yenu.

    Mafuta yanayosemekana kugunduliwa huko Bonde la Turkana bado hayaja thibitishwa kuwa na Manufaa ya Kibiashara (Commercial viability) kama jinsi Gas ya Kibiashara na Madini mengine vilivyo patikana hapa Tanzania.

    2.POLITICS:
    Siasa na Habari.
    Siasa yenu bado ni ya Karata 3 huku ikitawaliwa na Ukabila uliokithiri hivyo Kenya hakuna Siasa za Demokrasia bali za Kiukabila kitu ambacho Amerika haivutiwi nacho huku Mwamko wa habari ukiwa bado kuwa huru zaidi.

    3.MILITARY:
    Majeshi na Utawala.
    Licha ya Kenya kutuma Majeshi Somalia, lakini bado haijaweza kutumia Majeshi yake ipasavyo ktk Operesheni mbalimbali Duniani kama ilivyofanya Tanzania hasa ktk suala la Ulinzi wa Amani.

    Hivyo kwa hayo matatu (3) kuna kila sababu Raisi Obama kutaka kuja Tanzania licha ya unasaba wake na Kenya.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2013

    Wakenya Siasa yenu licha ya kutembelewa na Vigogo wa CCM kwa uenezi wa Kisiasa na ninyi kuja Tanzania kwa Mafunzo ya Siasa kutoka CCM bado inaokenaka hamjakomaa vizuri Kisiasa.

    Siasa ninyi hamna isipokuwa mnao Ukabila uliokithiri.

    Na ndio maana ndugu yenu wa Kinasaba Raisi Obama amekwepa kutembelea kwenu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2013

    Kenya na Wajaluo eleweni ya kuwa Obama ni Mwaamerika na si Mkenya!

    Hilo jina lake la mwisho OBAMA lisiwababaishe.

    Wala Obama kwao sio Kenya bali ana asili ya kuwa na baba aliyetokea Kenya.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2013

    Litawakeara JIN MAX Wakenya kwa Obama kuja Tanzania.

    Acheni kusafiria nyota za wenzenu!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2013

    Mnataka aje kwenu mna nini?

    MLICHO NACHO KENYA:
    -Majani ya chai na usindikaji chai,
    -Kilimo cha Mauwa,
    -Umeme wa mamu ya moto,
    -Siasa za Ukabila na si Demokrasia,
    -Uchumi ulioimarika Kisanii.

    TULICHO NACHO TANZANIA:
    -Gas,
    -Oil,
    -Uranium,
    -Diamonds,
    -Gold,
    -Steel,
    -Coal,
    -Natural Reseources
    -Siasa ya Demokrasia,
    -Uchumi ulioimarika wa Ukweli.

    Sasa hamjui kuwa Obama ni mfanya biashara mnafikiri hapo kama mnavyoona juu atavutiwa na wapi?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2013

    HUyu Jamaa Anamgombeza au kumbembeleza Obama...Haeleweki

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2013

    uwiiiiii mbavu zangu mie. Jamaa made my day

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2013

    Jamani acheni kuwasema sana wa Kenya, majirani zetu na watani zetu, huyu jamaa mimi naona amewekwa hapa ili kutufanya tukunjue nyuso zetu kwa kicheko , sidhani kama wa kenya wote wana waza hivi.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2013

    Huyo Mlalamikaji wa Kenya APIMWE AKILI KWANZA, sio bure!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2013

    Jamaa mlalamikaji lazima atakuwa ni Jaluo wa Kenya!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2013

    Kila siku nawaambia bange mbaya bange mweee.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2013

    Acheni kulaumu, bahati Tanzania ni karibu sana na Kenya. Akija mje kumwona huku Tanzania mnakaribishwa sana, mtuingizie fedha na kuinua kupato kwenye hotel zetu. Karibuni kwa wingi kumwona American presedent mwenye asili ya Kenya bali si mkenya tena.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 23, 2013

    unajua huyu jamaa kabila lake ni mluya, waluya ni washamba sana. Mluya alialikwa sehemu akaambiwa karibu mgeni kuna juice na chai sasa sijui utapendelea nini? Akajibu nitakunywa juice nikingoja chai! yaani anataka apige vyote.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 23, 2013

    HAO HAWANA URAFIKI. MUSIJE MUKALIA.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 01, 2013

    Made in Tz!! Tuna vyote hivyo lkn kama ndivyo vilivyomvutia Obama na msafara wenye wafanyabiashara wengi basi ndicho kilichomoeta rais wa china aliyetinga nchini siku chache tu baada ya kuchaguliwa. Hofu yangu ni udhaifu wa viongozi wetu ktk kusimamia haki ya mtz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...