
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) wakiwa kwenye mkutano wao mkuu wa kawaida huko Addis Ababa. Waliokaa kutoka kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Madam Roman Tesfaye, Mama Salma Kikwete, Mama Inkhosikati La-Ntentesa, Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland, Mama Hadidja Aboubaker wa Comoros, Mama Lordina Mahama wa Mke wa Rais John Mahama wa Ghana, Mama Janette Kagame, Mke wa Rais Paul Kagame wa Rwanda na wa mwisho ni Mama Margaret Kenyatta, Mke wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
Baadhi ya wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika wakiwa kwenye mkutano wao mkuu kwenye Makao Makuu ya Jumuia ya Afrika huko Addis Ababa nchini Ethiopia. Picha na John Lukuwi
King Mswati huwa hakosei bhana.
ReplyDeleteI agree. King Mswati never disappoint us.
ReplyDeletehahaha, mkutanao wa wanawake na wanaume wapo..
ReplyDeleteyaleyale kitchen party na wanume ndio wanachukua video, hizi ni kukamilisha ratiba tu ..wizi mtupu hakuna kitu cha wanawake..