Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Spicenet Tanzania Ltd, Vinay Choudary (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Chess yatakayoanza Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Michezo katika Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Benson Chacha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Chess Tanzania, Joe Anea na mjumbe wa kamati ya chama cha chess, Emmanuel Mwaisumbe.
Raisi wa Chama cha Chess Tanzania (TACA), Geoffrey Mwanyika (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Chess yatakayoanza Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Michezo katika Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Benson Chacha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Chess Tanzania, Joe Anea na mjumbe wa kamati ya chama cha chess, Emmanuel Mwaisumbe.
Baadhi ya wapiga picha za habari wakirekodi tukio hilo jijini Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Well done Tanzania! We are proud of such neighbours!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2013

    habari,
    Nimeokota Kadi ya MPIGA KURA ya DR. PETER F. KIBACHA, iliyoandikishwa Muhimbili, alizaliwa tarehe 31 -12- 1975 huko same.
    Tafadhali ANKALI MICHUZI naomba unipostie hii . Apige simu namba 0767569617 , niliwahi kumuandikia barua kwa adress namba 80181 DSM hakujibu

    ReplyDelete
  3. washindani watakao cheza wanapatikana vipi? dar hakuna club za chess japo wachezaji tupo wengi, tunaishia kuchezea kwenye yahoo chess........ naomba muongozo.........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...