Peter M. Mayunga na familia yake akiwa kwenye picha ya pamoja na Vice- Chancellor Karin Röding (Wapili toka kulia). Peter amehitimu shahada pili ( Master of science in Applied Mathematics specialization in Analytical finance).
Ndugu Mayunga (Katikati) akiongea na wakufunzi wenzake kutoka Cameroon na Nigeria.
Ndugu Peter M. Mayunga na Na mke na watoto wakiwa kwenye picha ya pomaja na wanafunzi wenzake.
Familia ya ndugu Mayunga wakiwa kwenye picha ya pamoja,kutoka kulia Raija,Josephine na Jemina.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...