Shindano la Mkali wa Vodacom linalokupa nafasi ya kuwa nyota wa Kipindi cha TV sasa limesogezwa mbele. Kama ungependa kuwa mtangazaji nyota wa kipindi hiki usikose nafasi hii ya kipekee.
Kushiriki, tuma video yako isiyozidi sekunde 30 ukitaja jina lako, unapoishi, umri wako na kitu gani kinachokufanya uwe mkali wa Vodacom kisha iweke katika ukurasa wetu. (www.facebook.com/tzvodacom).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...