Ngoma ya Mapiko toka Mtwara
Home
Unlabelled
MKATAA KWAO MTUMWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Weee kwa sasa sijui kama utawachezesha tena hawa watu.
ReplyDeleteDaa ebwana weee yaani nimekumbuka mengi mnooo kwa ngoma hii.Miaka hiyo mitaa ya Tandale, Mwananyamala,Makumbusho,Msasani na Kijitonyama mara nyingi Wazee wa kusini walikua wanandaa ngoma hii na kukusanya watu wengi mnoo toka vitongoji mbalimbali hapa nazungumzia miaka ya themanini kuja miaka ya tisini mwanzoni,Ilikua burudani tosha na promo nzuri kwa biashara zilizokua zinafanywa na mualikaji kinyemela.Nitakaporudi TZ nitazungukia mitaa yote hiyo ili nijikumbushe.
ReplyDelete