Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2013

    ama kweli TANGA raha
    twamikaribisheni nyoote...twasema karibuni TANGA muone maliasiri za nchi hii

    aksantee anko kwa kutuenzi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2013

    Ukimwi kamwe hutaisha

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2013

    huu mtindo wa kulala kwenye sakafu sio utamaduni wetu watu wa tanga. Kichwa cha habari kinasema kataa kwa mtumwa na hizi pia ungeliongeza mharibu mila za kwao ni limbukeni!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2013

    We Anonymous wa May 30 unayesema ukimwi hautaisha unadhani hii ngoma ya asili ilianza jana? Kama ubongo wako uko katika hayo mambo ni juu yako, hii ni ngoma ya asili iko toka enzi za mababu. Tatizo la watu wengi ni kuweka hisia zao mikononi. Have control people and protect yourself if necessary.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...