Bw Sihaba Vuai afisa mazingira ofisi ya makamu wa kwanza wa rais zanzibar akizungumza kuhusu hali ya mazingira na zanzibar na mathara yatokanayo na mabadiliko ya tabia nchi katika mkutano wa kamati ya kitaifa ya wataalam ya mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini zanzibar. 
Wanakamati ya kitaifa ya kitaalam ya mabadiliko ya tabia nchi wakimsikiliza mtoa mada hayupo pichani katika mkutano unaoendelea mjini zanzibar (Picha na Evelyn Mkokoi) .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...