Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu katikati akiwa na wajumbe wa kamati ya maadili ya Mahakama ya Mkoa huo mara baada ya uzinduzi wa kamati hiyo jana mjini Songea,wa tatu kushoto ni wakili mfawdhi wa Serikali kanda ya Songea Andikalo Msabila na wa pili kulia katibu tawala wa mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko na wengie pichani ni wajumbe wa kamati hiyo.
PICHA NA MUHIDIN AMRI
Home
Unlabelled
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akutana na kamati ya maadili ya Mahakama ya Mkoa huo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...