Mpiganaji Felix
Mwagara akikata ndafu na mai waifu wake Lydia Mbonde katika mnuso wao mara baada ya kumeremeta katika Kanisa Katoliki, Hai Mjini, Kilimanjaro.
Felix na Lydia
wakifungua muziki wakati wa mnuso wao katika Ukumbi wa Hai
Garden, Papa Motel, mkoani Kilimanjaro.
Mpiganaji Felix akiwasha mshumaa
unaoashiria upendo wakati wa mnuso wa Send off kwa mchumba wake
Lydia. Sherehe hiyo ilifanyika Mwenge Social Hall, jijini Dar es Salaam hivi
karibuni.
Mpiganaji Felix Mwagara akipongezwa
na wageni mbalimbali waliohudhuria sherehe hiyo.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...