FAMILIA YA SYKES INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WAO ALLY KLEIST SYKES (PICHANI) KILICHOTOKEA LEO MEI 19, 2013 KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI NAIROBI, KENYA, ALIKOKUWA AMELAZWA.
MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU MBEZI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM. MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUWASILI JIJINI USIKU HUU.
MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA KESHO MEI 20, 2013 KATIKA MAKABURI YA KISUTU BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUSWALIWA KATIKA MSIKITI WA KIPATA WAKATI WA SWALAT ALAASIR.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
Inna-na lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.
Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.
Surely we belong to Allah, and to Him shall we return.
Inna-na lillahi wa inna ilayhi raji'un.
ReplyDeleteInna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. May Allah accept his deeds and grant him a place in janna. We pray that Allah grants his surviving family patience and resilience. To Abdul, Araf and Kwemah - the ones I personally know - POLENI SANA.
ReplyDeleteInna lillah wainna ilayhi rajioun.......tutakukumbuka daima mzalendo wa nchi hii.
ReplyDeleteInna lillah wa Ina Ilayhi Rajioun, Inshallah Mwenyezi Mungu atamlaza Mzee wetu mahali pema peponi - Amin. SA
ReplyDeletePoleni sana Abraham na nduguzo katika kipindi hiki kigumu Mungu awape nguvu,tumuombee mzee wetu kwa Mwenyezi Mungu aipaumzishe roho yake kwa Amani ,Amen, G.E.N
ReplyDeleteinna lillahi wa inna ilayhi rajiun, Muumba akuweke katika kundi la waja wema
ReplyDeleteMay Lord Rest his Soul in Peace. Alikuwa Mzee Mwema sana. Amina
ReplyDeleteInna lillah wa Ina Ilayhi Rajioun
ReplyDeleteUS Blogger
Inna lillahi wa Inna ellayhi rajiun. May Allah accept all his good deeds and rest his soul in peace. Grant his family and loved ones the patience and good health to deal with this difficult event in their life.
ReplyDeleteInna LILLA wa inna ILAIHI Raajiuu'n...ALLAh SWT amjaalie qauli thaabit, amng'arihie kaburi lake kwa jaha ya Mtume SAW na Quraan KAreem, ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia, na amjaalie awe katika watu wa riadhil Janna Amin thumma Amin Amin Amin , AlhamduliLLAh ..Poleni sana wafiwa
ReplyDelete