Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda  akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa kiwanda cha saruji cha DANGOTE kilichopo  katika kijiji cha  Hiyari Mtwara May 27,2013. Nyuma yake ni mmiliki wa kiwanda hicho, Alhaji Aliko Dangote. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuajiri maelfu ya vijana kutoka mikoa ya kusini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2013

    SIASA KAMA KAWA,KWANINI KIWANDA CHA GESI KISIWE HUKO KILA KITU D'SALAAM

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2013

    Mambo ya gesi hayo. Shemegi zangu wamakonde sasa tuanze kuchangamkia ajira kabla ya jamaa wale...watani wetu hawajavamia fursa zetu sisi tukabaki kuandamana.

    by Observer

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2013

    Kazi kwenu Wakazi wa Kusini!

    Achieni viatu, mashati na soksi mikononi KWA UMACHINGA muwahi Mtwara kwenye ajira!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2013

    Vijana sasa mnajua nini la kufanya mkitaka kuletewa maendeleo mikoani kwenu :D

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2013

    Kiwanda cha cement uchafuzi wa mazingira (hewa) mnakumbuka lile vumbi la wazo tegeta? waliacha pale tu wakazi walipoenda mahakamani (serikali inatoa tu vibali bila kujali wananchi ), kazi nyingi zitakazopatikana hapo ni za vibarua tu....mwisho wa siku umaskini hautaisha.

    ReplyDelete
  6. Ni chachu kwa watu wa Kusini kusoma zaidi, naamini mpaka take off ya kiwanda watu wanaweza kuwa na muda wa kuongeza ufahamu na elimu kupitia Technical Colleges, na pia Vyuo Vikuu, Twenzetuni Shule kazi zajaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...