Alpha Blondy wa Ivory Coast alitingisha na ngoma yake ya 'Jerusalem'
Home
Unlabelled
NGOMA AZIPENDAZO ANKAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Michuzi! Yaani nakumbuka niikiwa stendi ya basi asabuhi na mapema kina mama wakiuza chai huku nikie=ingia kkwenye basi kutoka Moshi kuelekea Mkwawa Iringa! Miaka hiyo bwana! wacha kabisa!
ReplyDeleteAnkal kwenye 'Vaccations' zako ukifika(au ukifika tena) katika jiji la Abidjan jaribu kuulizia mwanamuziki wa reggae Tiken Jah Fakoly(alikimbia nchi wakati wa utawala wa rais Gbagbo).Huyu ni maarufu sana nchini Ivory coast kuliko Alpha Blondy!.Wawili hawa wamekuwa na "BIFU" muda mrefu hadi majuzi tu(2011) waliposuluhishwa na Rais wao mpya Alassane D.Outttara.Upo hapo mkubwa Ankal?
ReplyDeleteDavid V
Halafu lugha haipandi, unaimba "Israeli kwa Pilato...."
ReplyDeletejamaa kapiga kivazi chenye picha ya shujaa chee hakika hakuna kama chee
ReplyDeletebig up Alpha blondy ngoma kali sana.
Wandugu hivi ni kweli?
ReplyDeleteWapo wanaodai kuwa Alpha Blondie alikuwa anasoma Engineering (Uhandisi) Columbia University New York, Marekani halafu alipoona Kitabu kinamsumbua akaanza 'Kuvuta ganja' hadi akachanganyikiwa!
Inasemekana kwa kuwa alisoma Maddrassa kwao akaanzia kwenye Kaswida hadi Muziki wa Reggae.
Alpha Blondie jina lake ni Seydou Kone au Saidi Kone,alisomea dini ili awe ustaadhi,baadaye akataka asomee ualimu wa kingereza afundishe katika iliyotawaliwa na mfaransa Ivory Coast! jina la Alpha Blondie alipewa mtaani likiwa na maana Bandit namba 1,(Mwanzo na mwisho)hakuna kama yeye
ReplyDeletelakini bibi yake mzee alishindwa kulitamka Alpha Bandit akwamwita mjukuu wake Alpha Blondie.
Seydou Kone au Alpha Blondie mara nyingi anasumbuliwafa na Mental disorder ,usumbufu wa aina fulani ya kichaa,pia mtumiaji mzuri wa unga wa kulevya.
usilolijua usiku wa kiza
Duhhh !
ReplyDeleteMdau wa 6 umechambua vizuri ama kweli Tafrija nyingi zilimshinda Fisi.
Sasa kuwa Ustaadhi na mabange na miunga si ndiyo mtihani huo?