Meneja
wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) Mkoa wa Iringa, Josephat Changwe
(kushoto) akimkabidhi tisheti Diwani wa Kata ya Kitanzini Manispaa ya
Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu ili awakabidhi vyuo shirika vya elimu
ya juu kwenye mashindano ya Pool kwa vyuo hivyo Iringa jana.Kulia ni
Mwenyekiti wa chama cha Pool Mkoa wa Iringa Salum Kisaku.
Diwani
wa Kata ya Kitanzini Manispaa ya Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu
(kushoto) akimkabidhi tisheti nahodha wa timu ya chuo Kikuu cha Ruaha,
Said Mohamed wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa
vyuo shiriki vya mashindano ya Pool kwa Vyuo vya Elimu ya Juu Mkoa wa
Iringa.Katikati Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Pool Mkoa wa
Iringa,Salumu Kisaku na Katibu wa chama hicho,Haji Kiyeyeu.
Diwani
wa Kata ya Kitanzini Manispaa ya Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu(wa
pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyo shiriki vya
mashindano ya Pool yanayotarajiwa kuanza kesho Mkoa wa Iringa.Kushoto ni
Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) Mkoa wa Iringa, Josephat
Changwe.Kutoka kulia ni Katibu wa chama cha pool Mkoa wa Iringa,Haji
Kiyeyeu na Mwenyekiti wa chama hicho,Salum Kisaku.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...