Baadhi ya Viongozi, Wajumbe na Wanachama Wapya katika picha ya pamoja
Mwenyekiti wa CCM TAWI LA UNITED KINGDOM Ndugu Maina Ang’iela Owino akimkabidhi vitendea kazi ikiwemo katiba ya chama kwa Ndugu Chande Kigwalilo mwenye kofia Mwenyekiti Shina jipya la Cardiff.
Katibu wa CCM TAWI LA UNITED KINGDOM Bi. Mariam Mungula akimkadhi kadi za wanachama wapya Katibu wa shina Jipya la CCM Cardiff Bi. Rosemary Kiputa.


.png)
.png)
.png)
I hope hayo matawi ya CCM and Chaema et al are confined to USA and UK only. I fail to understand their purpose. Anyway good luck and all the best.
ReplyDeleteWanaCCM UK wanasambaza UZALENDO...Mkoa kwa Mkoa hadi wafunike UK nzima kijani.
ReplyDeleteKomba