Wahitimu wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Aga Khan Mzizima jijini Dar es Salaam,wairusha juu kofia zao mara baada ya kutunukiwa vyeti vya kuhitimu elimu hiyo wakati wa mahafali yao yaliyofanyika jioni ya leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,Upanga jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Aga Khan Mzizima jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Furaha ya kuhitimu masomo. 
 Mmoja wa wanafunzi wa Shule hiyo akionyesha umahiri wake wa kupiga Piano wakati akitoa burudani kwenye mahafali hayo.
Sehemu ya wazazi,walezi na wageni mbali mbali waliohudhulia mahafali hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2013

    Woooow Onike hongera sana much love you look cute

    ReplyDelete
  2. KUMPONGEZA ASKARI POLISI WA FERRY
    KUNA ASKARI POLISI MMOJA JINA SIMFAHAMU ILA NI MWEUSI NA ANPENDA KUVAA MIWANI MIEUSI WAKATI MWINGINE HUWA ANAKUWA NA KIPAZA SAUTI KUTUTANGAZIA ABIRIA TUNAOVUKA KWA KUTUMIA VIVUKO VYA KWENDA KIGAMBONI KUWA TUJIHADHARI NA WEZI PIA TUWE MAKINI TUNAPOINGIA KWENYE KIVUKO KUWA TUSIPITE PEMBENI KUNA UTELEZI, YAANI ASKARI HUYU NI HODARI SANA KWA KAZI YAKE, SASA KWA HUU UTARATIBU ULIOANZA WA UKATAJI UPYA WA TIKETI ULIKUWA UNAJAZA MSONGAMANO WA WATU SANA WAKATI WA KUINGIA LAKINI NIMEPITA HAPO NIKAKUTA HUYU ASKARI AMEDHIBITI HIYO HALI YA MSONGAMANO NA WATU TUMWSIMAMA MSTARI MMOJA NA KUKATA TIKETI YA KUINGILIA KWENYE KIVUKO KWA USTAARABU MKUBWA SANA BILA HATA YA KUSUKUMANA NA KURAHISISHA KAZI YA WAFANYAKAZI WA HAPO, KWA KWELI ASKARI HUYU NI MFANO MKUBWA WA KUIGWA. KAMA KWENYE FOLENI PIA YA MAGARI YANAYOSUBIRI KUINGIA KWENYE KIVUKO KUNGEKUWA NA ASKARI KAMA HUYU NAFIKIRI WALE WENYE TABIA YA KUCHOMEKA INGEKOMA KWA MAANA HAO WACHOMEKEAJI WANASABABISHA FOLENI KUTOTEMBEA NA WENGINE KUKAA KWENYE FOLENI KIPINDI KIREFU, NA INATOKANA NA ASKARI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI HAPO FERRY KUTOKUWA MAKINI NAKUWAACHIA MADEREVA HAO NA KUSHUTUMIWA KUWA WANACHUKUA KITU KIDOGO, NAOMBA WAKUBWA WA JESHI LA POLISI MLIFANYIE KAZI SUALA HILI LINATUTESA MNO WAKAZI WA KIGAMBONI.
    ASANTE
    MKEREKETWA WA MAENDELEO.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2013

    BETTER ALWAYS BETTER. I LOVE YOU MZIZIMA WITHOUT YOU I WOULD NOT HAVE HAD A HIGH SCHOOL EDUCATION.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...