Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wa kwanza kushoto) akiwa na mshumaa kuwafariji wagonjwa kwenye wodi namba sita inayolaza wagonjwa ambao ni watoto kuanzia miaka 0-5 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro , wakati wa siku ya maadhimisho ya waunguzi duniani kila Mei 12, siku hiyo wauguzi wote duniani wanamkumbuka muasisi wa uuguzi, mama Florence Nightngale ambaye alizaliwa kwenye familia tajiri nchini Italia.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wa kwanza kushoto) akisoma baadhi ya mabago yaliyokuwa yameshikwa na wauguzi hao.
Furaha siku ya waauguzi kama wanavyoonekana baadhi ya wauguzi hawa wa Mkoa wa Morogoro na wanafunzi wa uuguzi wakibrudika kwa kucheza muziki.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (wa pili kulia) akiwasha mshumaa wakati wa maadhimisho ya siku ya Wauguzi. Kushoto ni RAS wa Mkoa wa Morogoro,Eliya Ntandu.

Baadhi ya Wauguzi wa Mkoa wa Morogoro kutoka Halmashauri tatu kati ya sita za mkoa huo wakila kiapo cha kuonedha uadilifu na mapendo na kutotoa siri za wagonjwa kama moja ya matakwa ya kitaaluma ya uuguzi wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani , Mei 12, siku hiyo wauguzi wote duniani wanamkumbuka muasisi wa uuguzi, mama Florence Nightngale ambaye alizaliwa kwenye familia tajiri nchini Italia , kimkoa maadhimishi hayo yalifanyika Manispaa ya Morogoro na mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa huo, Joel Bendera.
Baadhi ya Wauguzi wa Mkoa wa Morogoro kutoka Halmashauri tatu kati ya sita za mkoa huo pamoja na wanafunzi wa chuo cha uuguzi cha mkoa ( PHN) wakishangilia na mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani , Mei 12, siku hiyo wauguzi wote duniani wanamkumbuka muasisi wa uuguzi, mama Florence Nightngale ambaye alizaliwa kwenye familia tajiri nchini Italia , kimkoa maadhimishi hayo yalifanyika Manispaa ya Morogoro na mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa huo, Joel Bendera.
Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha uuguzi cha Mkoa wa Morogoro ( PHN) wakishikilia mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani , Mei 12, siku hiyo wauguzi wote duniani wanamkumbuka muasisi wa uuguzi, mama Florence Nightngale ambaye alizaliwa kwenye familia tajiri nchini Italia , kimkoa yalifanyika Manispaa ya Morogoro na mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa huo, Joel Bendera.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii,Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...