Marehemu Ernest Zulu 1957 - 2013
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Thomas Kashilillah anasikitika
kutangaza kifo cha Mtumishi wa Ofisi ya Bunge Bwana Ernest Zulu aliyekuwa Afisa
Habari Mkuu kilichotokea tarehe 23 Mei 2013 akiwa masomoni nchini Malaysia.
Mwili
wa marehemu umewasili leo tarehe 29 Mei 2013. Heshima za mwisho zitatolewa
nyumbani kwa marehemu Dar es Salaam Ubungo-Kibangu tarehe 30 Mei, 2013 kuanzia
saa tano asubuhi na mazishi yafanyika nyumbani kwao Peramiho, Songea tarehe 31
Mei 2013
Bwana
ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina!
Dkt.
Thomas Kashilillah
KATIBU WA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...