WATANZANIA MLIOPO UINGEREZA HUSUSAN LONDON NA
VITONGOJI VYAKE MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA
WINGI KUZISHANGILIA TIMU ZETU TANZANIA BARA
NA ZANZIBAR ISLANDS.
KUANZIA
JUMAMOSI YA TAREHE 01/ 06/ 2013
TANZANIA INA MECHI MBILI JUMAMOSI KICK OFF SAA SITA
KAMILI MCHANA NA SAA TISA JIONI.
Sijaelewa!!! Tufafanulieni jamani! Ni Simba na Yanga au??
ReplyDeleteUmetaja tarehe.Je ni sehemu gani?
ReplyDelete