Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Aloysius Mujulizi akimkabidhi Waziri Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe Ripoti za Mapitio ya Mfumo wa Sheria za Haki za Madai na Tamko la Sheria za Kimila ambazo zimefanyiwa kazi na Tume katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Dodoma.
Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso akizungumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Tume akizungumza kabla ya kukabidhi ripoti kwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Sehemu ya wadau walohudhuria hafla ya kukabidhi Ripoti za Tume kwa Waziri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...