Idda Shizza (shoto) akiwa na swaiba yake Farida Nyamsogoro wakiwa na furaha mara baada ya kuhitimu diploma ya ualimu wa sekondari |
Familia ya Idda Shizza,Pamoja na familia ya Farida
Nyamsogoro wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya wanafunzi hawa
kuitimu ualimu wa sekondari ngazi ya diploma katika chuo cha
kigurunyembe
Mdada wa libeneke la kaskazini Woinde Shizza (kati) akiwa na walimu wapya mara baada ya kugradueti katika
chuo cha ualimu wa sekondari Kigurunyembe kilichopo
Morogoro
Mmependeza sana! Hongereni na Pongezi za dhati kwa wana "MOTCO" wote kwa kuhitimu mafunzo yenu ya Ualimu. Kweli maendeleo, siku hizi Kigurunyembe kwa Majoho. Nakumbuka enzi za Mhaiki hakukuwa na mbwembwe nyingi. Ila mmependeza sana.Nawatakia kila la kheri na mafanikio mema walimu watarajiwa.
ReplyDelete