Mubelwa Bandio wa Changamoto Yetu Blog akifanya mahojiano na Mwenyekiti wa kamati ya Kichuri Day Bwn. Waigama siku ya Jumamosi May 25, 2013 Ellicott City, Marylnd.
 Mubelwa Bandio akifanya mahojiano na Kiboko (T-shirt nyekundu) na Mobhare Matinyi.
Wakurya wakicheza Ritungu

Wakurya waishio maeneo ya Washington DC na vitongozi vyake, jumamosi ya Mei 25 mwaka huu walikutana na kwa mara ya kwanza ya kujuana, kujadiliana kuhusu kabila lao na pia kula chakula cha kikwao.

Katika siku hiyo waliyoiita Kichuri Day, kulikuwa na mambo mengi yaliyoakisi maisha yao ya nyumbani Tanzania ikiwemo chakula, muziki wa kikwao n.

Mubelwa Bandio anayo taarifa kamili; bofya mshale hapo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2013

    What a shame for Tanzania. Hii ya kujivunia ukabila imetoka wapi tena? Shouldn't this have been more inclusive. An event to celebrate the richness and diversity of Tanzanian cultures, without being exclusive? In that context the Kurya's unique culture would still have been showcased. These folks have been away for so long they have forgotten the country they left behind! What a pity and what a tragedy!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2013

    Yes! These people are truly Africans and Tanzanians! You cannot get rid of your nature; you are an African, a Tanzanian, and someone from a specific ethnic group! Great boys!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2013

    I don't see any problem with guys here celebrating their culture. Most Tanzanians misunderstand the concept of culture thinking that it brings back tribalism but in reality we are required to treasure our cultures, and that is why we have traditional dances, and shows in Tanzania. Blaming them is simply a show of ignorance! After all other tribes were there such as the Hayas like the one interviewing them; the Chaggas like Mr. Saria; the Sukumas; the people from Tanga; just everybody including Kenyans and Americans. As matter of fact, the man who hosted the function is not a Kurya but his wife. Please give them some credits.

    This was perfect and must emulated by everybody who love his African roots!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2013

    Annon no1 you are right. If there we Haya's etc as the other ignoramus above claim why then bill the event as Kurya's. si ingekuwa bora zaidi wakaiita sherehe ya mila za makabila ya Tanzania ama Afrika Mashariki. Eti kwa vile mtangazaji si mkurya hivyo sivyo ya kikabila. Mazozo haya yametokea wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...