Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizundua bohari ya madawa ya MSD mjini Dodoma Mei 5,2013.Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Seif RashidWatatu kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa (MSD), Cosmas Mwaifani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe wakati alipozindua bohari ya kuhidi madwa ya MSD, eneol la Kizota mjini Dodoma Mei 5,2013.Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Seif Rashid na Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya MSD, Malima Lubeleje.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa (MSD), Cosmas Mwaifani (wapili kulia) wakati alipozinduaghala la kuhifadhia madawa katika Kanda ya Kati la MSD mjini Dodoma Mei 5, 2013. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashid.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua madawa yaliyohifadhiwa kwenye boahari ya MSD ya Kanda ya Kati eneo la Kizot mjini Dodoma baada ya kuzindua bohari hiyo Mei 5,2013. Wapili Kulia ni Naibu Waziei wa Afya, Dkt.Seif Rashid , Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya MSD, Malima Lubeleje na wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
dawa hizo zitawanywe ziwafikie wagonjwa nchini; sio kulundikana hapo kwenye bohari for both photo and public relations opportunities!
ReplyDeleteLile sakata la walioagiza madawa feki limefikai wapi manake tunataka waliousika wafikishwe kunakotakiwa.
ReplyDeleteWhoever design the technology inside the warehouse unfortunately is not competent enough. If you look closely at the pallets which are placed on the racking system you will see that they are resting on the connecting plank of the pallet instead on the thicker corners of the pallet base. In the long run they will not be able to support the weight and crack resulting in injury and loss to medicine.
ReplyDeleteKindly MSD review this and if you require help please say so instead creating a dangerous environment for your workers and a loss to the government from damaged items.
Another best practice is to plastic wrap those pallets which are placed on higher racks for safety too. Funny enough the Prime minister was placed in a dangerous situation while the rest had helmets he had nothing....
If you can't ensure best practices within your operations how do you expect to serve the people well with quality medicine.