WajumbewaBodiya SSRA wakiwa katika viwanja vya monyesho vya Nyerere Square mjini Dodoma kutoka kushoto ni Juma Muhimbi,
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Jayne Nyimbo na Kabeho Solo.
Mkuu wa Kitengo cha Uhamasishaji cha SSRA, Sara Kibonde akifurahia jambo na Wakuu wa Mifuko ya GEPF, Daud Msangi na mfuko wa LAPF, Eliud Sanga.
Meneja wa Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele
akimkaribisha mjumbe wa bodi ya SSRA, Kabeho Solo katika banda la PPF.
Meneja Masoko wa GEP, Aloyce Ntukamazi akitoa maelezo ya shughuli na faida wazipatazo wanachama wa
GEPF kwa wajumbe wa bodi ya SSRA
Ofisa wa Uwekezaji wa PSPF, Hamidu Ngororo akiwaeleza wajumbe wa SSRA mradi wa nyumba za bei nafuu za wanachama zilizopo Dar es
salaam, Mtwara, Tanga, Shinyanga na Morogoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...