Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal! Bei ya madafu? Aah hili jina linaoneha dalili za kujidharau wenyewe. Any how siku hizi uzalendo unapimwa kwenye majukwaa kwa hiyo na tuendelee tu.
ReplyDeleteUtake usitake madafu ni madafu tu.
ReplyDeleteYaani nipo pamoja na wewe Anonymous uliyatangulia. Hii kweli ni kijidharau kwa kweli. Blog kubwa kama hii badala ya kuandika kiswahili fasaha mnatuandikia bei ya madafu jamani.... :(
ReplyDeleteKwani dafu ni kitu cha aibu???
ReplyDeleteInachomaanisha hapa ( tongue in cheek) kuwa Shilingi ya Tanzania ina thamani ya kutumika hapa nchini tu....kama vile kununua madafu toka Kigamboni!!! Huo ndio ukweli wenyewe hata ukiwa Mzalendo au la!
Umeipata mkubwa?
Walahi tuna haja ya kujikejeli pesa ya Tz inashuka kutokana na umaskini wa nchi! Lazima kujua namna ya kuondokana na umasikini wa roho akili na mwili itokanayo na hawa mafisadi!
ReplyDeleteUkiona nchi inayoitwa nchi ya maskini kuna watu wana pesa dunia nzima hakuna na hizo zote zimenyonywa kwa malalahoi
wewe unaelewa nini kuhusu madafu??@ anonymous 1
ReplyDeletemaana unaweza ukawa unalaumu kumbe hata hujui madafu ni kitu gani..
Duu hakika bei ya madafu inazidi kuwa mbaya!!! sasa Dollar na pound inashikilia dunia hakika! haya taratibu tutafika tu. Inshallah
ReplyDeleteHIVI JAMANI TUNASEMA UCHUMI BONGO UMEKUWA MKUBWA MBONA PESA YETU INAZIDI KUDHALALIKA HIVYO AU NDIO SABABU YA KILA KITU KINAUZWA KWA DOLLRE ?
ReplyDelete