Makamo Mwenyekiti wa kamati ya maridhiano Eddi Riami, akitoa nasaha zake kwa wazanzibari, huko katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waandishi wa habari wa vyombo tofauti Nchini wakihakikisha wanapata matokeo mbalimbali yaliojiri katika Mkuto wa CUF uliofanyika kibanda maiti.
Sehemu ya umati uliojitokeza leo Kibanda Maiti
Katibu Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi, akihutubia maelfu ya wananchi waliofika kiwanjani hapo leo jun 06 2013.
Msanii Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha Bulioni Mjini Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Haya haya mwenye macho haambiwi tazama. Kuna wimbo mmoja uimbwao mbeele yangu kuna simba, nyuuma yangu kuna chui, kushoto kwanguu kuna nyoka na kulia kwangu kuna mamba sijui nitafanya nini niweze kuokoka.Labda kwa mbinu mmbadala.
ReplyDeleteKuna swali liliulizwa na Eddy Riami kama kuna kiongozi yeyote ambae alisema kuwa Hataki Zanzibar iwe na Mamlaka kamili basi na Asimame hadharani kaama walivosimama WENYE KUDAI MAMLAKA KAMILI
ReplyDeleteVile vile huu ulikuwa ni mkutano wa wanakamati na wananchi lakini tu mapenzi ya wananchi wameufanya wa CUF ila wa CUF UTAKUWA WIKI IJAYO