Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akibidhi vifaa vya michezo kwa Katibu wa UWT kata ya Ubungo Bi. Rose Ndunguru.Vifaa hivyo vimetokana na ombi maalum kwa ajili ya ligi ya mpira wa Pete inayojulikana kama Rose Wasiri Cup.Mashindano hayo yameanza leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vilivyoko Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.Jumla ya mipira tisa na seti mbili za jezi  zimekabidhiwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2013

    Ninapenda unavyotengeneza nywele zako mheshimiwa. Raiti wangejuwa baadhi ya siri: kama identity, afya nk. na hasa athari ya madawa wanayojitutika kichwani angalau wangeiga kwako au wangekuja hata usiku usiku tu kama Nicodemo na kukuuliza sababu zikufanyazo uonekane kama unavyoonekana. Sisi waafrika ni wazuri kama tulivyo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2013

    Ni kweli kabisa mdau wa kwanza, huyu mama anaendeleza mila na desturi za matunzo ya nywele ya kiafrika kwa akina-mama, and she looks beautiful with her various traditional hairstyles- twende kilioni imempendeza.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2013

    Yes, she is beautiful, educated, good work, respectiful and self esteem. Keep it up mama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...