Mwendeshaji wa semina ya “How To Find Your Destiny” Hoyce Temu aki-share experience ya maisha yake mpaka hapo alipofika baada ya kupitia vikwazo vingi, kuvuka mabonde na malima wakati wa semina hiyo.
Washiriki wa semina ya “How To Find Your Destiny” wakifuatilia kwa umakini shuhuda na mifano mbalimbali ya maisha iliyokuwa ikitolewa na Mwendeshaji wa Semina hiyo Hoyce Temu(hayupo pichani).
Hapa ingenoga kama video ya semina ingewekwa,ama ni mambo ya "Hati miliki"
ReplyDeleteKiswahili kimeishia wapi katika hayo makomangano, jamani?
ReplyDeleteMILIMA NA MABONDE?HAYO NI MAISHA YA KAWAIDA UCHAGANI .
ReplyDelete