Rais Jakaya Kikwete akiwa katika banda la HUAWEI wanakoonesha teknolojia ya kisasa ya TELEPRESENCE ambayo imeshaanza kutumika nchini
 Rais Kikwete akisalimiana na wadau wa IT wa eDucation
 Akiwa katika banda la Malaysia
 Akikagua sehemu ya kukaa viongozi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2013

    Kuna umuhimu wa kuwa serious tunapokuwa wenyeji wa mikutano kama hii. Jioni hii nimekuwa nafuatilia ufunguzi wa mkutano huu,ambapo nimeona mapungufu makubwa katika organisation ya event yenyewe, achilia mbali matumizi ya screens ndogo sana kwenye ukumbi ambazo ilikuwa ngumu kufuatilia picha zilizokuwa zinaonyeshwa.

    Zaidi nimesikitika kuona kuwa muheshimiwa alifanya ukaguzi wa mwisho, na bado such gaps could not be addressed before the start of the meeting.

    There was a very poor coordination between organisers and master of ceremony.

    Lini tutakuwa serious jamani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2013

    Jk, usisahau matumizi kwa a shule za kata!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2013

    Ushaur wangu n tuendelee hv hv kama tulivyojiweka vizur kwa ajili ya wagen wetu na hii imenifumgua macho kwamba tunaweza ila ni kutoamua kusimamia taratibu ambazo tulijiwelea wenyewe. Tuendelee kuwa wasaf wa jj letu, usalama uimarike n.k

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2013

    Nimesikia Uhuru Kenyatta nae yumo.Hivi kunauwezakano wa Kenyatta kuonana na Rais Obama for handshake photo, that will be a score for Kenyatta.Yeye ndio sababu ya Rais Obama kuikacha Kenya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...