Home
Unlabelled
FREDDY MACHA: UNAKULA MATUNDA ; LAKINI VIPI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I often find it difficult to understand. Why a man like this who obviously has no medical knowledge or medical background, and conspicuously has no training in the science of human nutrition tries to advise people on a complex subject based on common sense(his)
ReplyDeleteI may be wrong and I mean no offence when I think he thinks the rest of us are thick.
Ibrahim
Ngoja nikusaidie mistari,ya wimbo umeukosea.
ReplyDeleteKuleni Chakula bora,
Na kujenga nyumba safi.
Na Pa kulala pawe bora.
Kuleni Kuku,Mayai
Mboga,Samaki ,Maziwa.
Na kujenga nyumba safi,
Pakulala bora.
Wimbo huu umeimbwa
na kwaya ua Umoja wa vijana wa Tanu,iliyokuwa chini ya Mzee makongoro
Enzi za wimbo huu Freddy Macha alikuwa bado yupo kijiji Moshi,mjini hajakuja kabisa
Du, Hatari kweli yaani Wakati naanza kuangalia hii clip nilikuwa nakula mseto wa ndizi za Kupika na palachichi, sasa sijui hiyo pombe itakayotengezwa huko tumboni inakuwaje, na Mimi sinywi pombe.
ReplyDeleteAnonymous uliyesema hukuelewa mseto unaokua tumboni. Zingatia maana ya maneno. Haina maana utajenga pombe tumboni. Ila chakula kitavurugwa tumboni. Hebu soma maelezo haya yafuatayo:
ReplyDeletehttp://thescienceofeating.com/fruits/
Halafu Anonymous(Ibrahim) uliyeandika Kiingereza kwamba inakuaje mtu asiye mtaalamu akawashauri watu juu ya jambo ambalo hakusomea. Nimelisomea na kulitafiti suala miaka mingi na pia kuwahoji wataalamu husika, si lazima kutaja vyeo au taaluma (kujionyesha) katika video fupi kama hii.
Pili, kwanini kuandika maoni ya Kiingereza kuhusiana na video inayozungumzia Kiswahili? Lengo lake nini?
Wewe anony wa kwanza aliyoyesema Macha ni basic knowledge ambayo ni vema kila mtu kuielewa. Wala sio elimu ya udaktari kama ulivyodai, hiyo ni Nutrition au kwa lugha yetu tukufu Lishe. Tatizo kujifanya munajuwa hata kama hamujui. Sisi na hasa mimi nimefaidika na somo hili. Asante sana Ndugu Macha na kama kuna jingine tafadhali usisite maana Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu wenye afya bora.
ReplyDeleteBwana Masha
ReplyDeleteKwanza naomba radhi kama nimekukera au lugha niliyotumia imekutia upupu.Niliandika kidhungu kwa sababu utaalam wa juu katika sayansia ya nutrition nimeusoma kwenye lugha hiyo.Ni ulemavu wangu sio ufedhuli.Kisha wasema kuwa umefanya utafiti na kuzungumza na wataalam, basi makosa si yako bali ni ya wale waliojaribu kukuelimisha
Wakatabahu
Ibrahim
Meku Macha, wala usirumbane na watu kama Ibrahim. Wewe ni mtaalamu wetu, yaani proffessional. Tuachie sisi tutamtoa kamasi nyepesiii.
ReplyDelete