Passport No. AB 017956 for SILAS JOHN BURA (pictured above)
Has got lost in Melbourne, Australia.
Whoever has any information leading to the recovery of this passport may please report immediately to the nearest police station in Tanzania or Australia.
Please Contact +61411 223295 or +255 784 608301
Aaaahhhhhhha jamani bado tu hamjaamka??mbona mambo haya ni kitambo tuuu au mtoa habari hakuwepo miaka hiyo ambapo ishu kama hizi zilikua ktk peak.Maisha jamani tulizeni mpira.
ReplyDeleteIko kazi, the boy looks under 18. Can't they issue a replacement, they have all the data etc etc.
ReplyDeleteHiyo Pasipoti Mapopo yaani West Africans wameshaiiba na sasa wanasafirishia Unga!
ReplyDeleteSisi tukiziona Pasopoti zetu za Bongo kama Kadi ya Hospitali wenzetu Afrika ya Magharibi zao walishazinyea huko Majuu na Dunia nzima na sasa wanatumia za kwetu kufanyia kazi zao chafu.
Wimbi la wizi wa Passport,
ReplyDeleteKwa nini Tanzania na sisi tusiziweke Biometric data ili zisiweze kuibika?
Tanzania sasa tumepanda thamani kidunia kwa kuwa wenzetu wanatumia nyota yetu kusafiria!,,,hamuwezi kuamini hata majirani zetu kama Kenya wanazitamani sana Pasi zetu kwa ajili ya kazi za Mipango maana wao wanastukiwa kirahisi kwa Rekodi yao mbaya ya Usanii.
Ohooo!
ReplyDeletePasipoti itakuwa huko Afrika Magharibi labda Benin, Ghana ama Nigeria kitambo!
Niliwahi kusikia jamaa laiyekuwa amesafiri kwenda Majuu akisema aliona Mzungu akimhoji mtu mweusi Uwanja wa ndege Ulaya laiposikia jamaa anatoke WEST AFRICA yule Mzungu alistuka sana!
Baada ya kuodoka alipofika Mbongo wala Mzungu hakupata wasiwasi akamwambia Mbongo watu wa West Africa wanaogopwa sana Ulaya kwa Uhalifu.