hili lori tumekutana nalo kijiji cha mwigu morogoro road linapigwa nyoka.gari yetu imepata pancha hapa so muda wote bila hofu jamaa wamepiga dumu 12 za liter 20!mchezo huu ndo unatutesa watz tunauziwa mafuta mabovu kwa ghali na kuharibu magari yetu!Mulika mwizi man!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2013

    Ungoonesha plate number ingesaidia somehow

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...